Vijana wakongamana NairobI kujadili mikakati yao ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    1,488 views

    Wagombea wachanga wa viti vya kisiasa kutoka maeneo mbalimbali nchini walikusanyika katika Ukumbi wa Ufungamano, Nairobi, kwa kongamano kubwa lililoandaliwa na Inter Parties Youth Forum. Vijana hao wanalenga kuwania nafasi tofauti za uchaguzi mkuu ujao walitoa wito kwa serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi ya ufisadi na kusitisha ukandamizaji wa waandamanaji