Skip to main content
Skip to main content

Vijana wakosa kujitokeza kwenye usajili wa makurutu wa polisi Busia

  • | NTV Video
    282 views
    Duration: 3:20
    Idadi ya vijana ambao wamejitokeza kushiriki katika zoezi la kusajili makurutu watakaojiunga na kikosi cha polisi kutoka kaunti ya Busia ni ya chini mno huku baadhi ya wakazi wakielekeza kidole cha lawama kwa kesi za kila mara ambazo zimekuwa zikisitisha zoezi hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya