Vijana walalamikia ukosefu wa ajira katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    102 views

    Vijana wajasiriamali wasiozidi umri wa miaka thelathini na mitano Katika kaunti ya Samburu wamelalamikia hali ngumu ya kiuchumi. Baadhi wakihusisha hali hiyo na kutokuwepo kwa nafasi za ajira, biashara, uwekezaji na kufifia Kwa sekta ya utalii. Vijana hao sasa wameandaa tamasha ya maonyesho ya kibiashara kuwaleta Kwa pamoja wajasiriamali na wadau wenye uzoefu kujadili jinsi ya kuboresha Hali ya biashara sawa na utalii.