Vijana waliofanya kazi ya mtaani mjini Nyeri wanasema hawajalipwa

  • | Citizen TV
    Baadhi ya vijana waliofanya kazi chini ya mpango wa kazi mtaani huko Nyeri wanalalamikia kutolipwa kwa kazi waliyoifanya. Vijana hao waliandamana hadi katika ofisi za naibu kamishna wa Nyeri wakidai kuwa wamenyimwa haki yao . Sasa wanataka rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati ili wapewe hela zao wakiongezea kuwa sauti yao haisikizwi.