Vijana waliotekwa nyara walipatikana wakiwa hai, sehemu tofauti nchini

  • | NTV Video
    6,875 views

    Vijana wanne waliotekwa nyara zaidi ya wiki mbili zilizopita wamepatikana. Billy Mwangi, Ronny Kiplangat, Benard Kavuli na Peter Muteti walipatikana katika sehemu tofauti tofauti nchini, ikiwemo Kitale na Machakos wakiwa hai.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya