Vijana wanafunzi waomba moto wa maandamano upozwe

  • | NTV Video
    1,518 views

    Baadhi ya viongozi wa wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wamepinga uteuzi wa Julius Ogamba kuwa waziri wa elimu kwa madai ya kuwa mgombea mwenza wa aliyekuwa waziri wa elimu Ezekiel Machogu katika uchaguzi mkuu uliopita kaunti ya Kisii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya