Vijana wanasema nini kuhusu Uchaguzi wa DRC 2023

  • | BBC Swahili
    635 views
    Uchaguzi mkuu wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, utafanyika Jumatano Disemba 2023. Miongoni mwa wapiga kura takriban milioni 44, ni vijana ambao wengi wao wana matarajio makubwa ya siku za usoni. Hata hivyo, sawia na vijana wengine barani Afrika, vijana wa Congo wana changamoto nyingi, miongoni mwao ikiwa ni ukosefu mkubwa wa ajira. Wamemsimulia Roncliffe Odit masaibu yao na matumaini yao wakati wakielekea kupiga kura… #bbcswahili #DRC #Uchaguzidrc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw