Vijana waongoza katika maambukizi mapya ya ugonjwa wa ukimwi

  • | K24 Video
    70 views

    Mwenendo wa kuchepuka na udhamini wa shangwe ni mojawapo ya sababu zinazokisiwa kuchangia maambukizi ya virusi vya ukimwi miongoni mwa vijana. Baraza la kitaifa la kupambana na ugonjwa huo linasema vijana wasio na namna ya kujimudu kimaisha hujihusisha kimapenzi katika ile hali ya kuwa na mdhamini wa shangwe au ukipenda sponsor hujiweka katika hatari ya kuambukizwa.