Vijana wapewa mafunzo kuhusu uongozi serikalini Sabaki, Kilifi

  • | Citizen TV
    40 views

    Vijana kutoka eneo la Sabaki kaunti ya Kilifi wamepokea mafunzo ya kuwawezesha kutambua majukumu ya Viongozi katika nafasi tofauti serikalini