Vijana wasema maandamano kesho ni makubwa zaidi

  • | Citizen TV
    16,597 views

    Vijana nao wanasisitiza kuwa maandamano ya kupinga serikali yaliyoratibiwa kufanyika kesho yataendelea kote nchini kama yalivyoratiwa. Vijana hawa sasa wakisema maandamano haya yatakuwa makubwa zaidi na ya mwisho dhidi ya serikali ya kenya kwanza. Haya yakijiri huku kaimu inspekta wa polisi gilbert masengeli akisisitiza kuwa polisi watawakabili watakaovunja sheria,