- 281 viewsDuration: 3:06Huku ulimwengu ukisherekea siku ya chakula ulimwenguni, vijana wameshauriwa kujihusisha na kilimo, sio tu kama njia ya kujiajiri bali pia kuinua uchumi na kuhakikisha lishe bora kwa jamii. Ndio kauli mbiu iliyodadisiwa kwa kina kwenye komgamano la siku ya chakula ulimwenguni lililoandaliwa huko kendu bay, kaunti ya Homa Bay.