Vijana washauriwa kuwa watulivu katika maandamano

  • | Citizen TV
    1,402 views

    Viongozi mbali mbali kutoka kaunti ya Homa bay wamewarai vijana wanaonuia kushiriki maandamano ya ukumbusho wa mwaka Moja tangu wenzao wauwawe kwenye maandamano ya Gen Z mwaka uliopita, kudumisha amani na kutoleta fujo na uharubifu wa mali wakati wa maandamano yao