Vijana wataka Ruto awajibishe walioua waandamanaji wa Gen Z, si msamaha tu

  • | NTV Video
    932 views

    Vuguvugu la vijana wa vyama mbalimbali humu nchini wanamtaka rais William Ruto kuhakikisha kuwa wote waliohusika kwenye mauaji ya wakenya wakati wa mandamano ya kizazi cha Gen-z wanawajibishwa na wala sio tu kuomba msamaha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya