Vijana wataka serikali kuwekeza katika ukuzaji wa talanta

  • | Citizen TV
    240 views

    Vijana eneo Bunge la Tharaka wameomba viongozi Kuwekeza katika Talanta za vijana. Kwa muda mrefu viongozi wa eneo hili hawajakuwa wakitilia manaani kupiga jeki vijana wenye Talanta kwenye michezo Tofauti. Nelson Mbocco anaarifu zaidi