Skip to main content
Skip to main content

Vijana watakiwa kujiandikisha kuwa wapigakura kwa wingi

  • | Citizen TV
    242 views
    Duration: 1:29
    Baadhi ya viongozi wa vijana wamewataka wenzao kujitokeza kwa wingi kujisajili kama wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu ujao..Vijana hao wa chama kipya cha kisiasa cha The Economic Pillars Alliance wanasema licha ya zoezi za kujiandikisha kuwa mpiga kura kufunguliwa, idadi ndogo ya vijana imejitokeza kutekeleza jukumu hilo muhimu.