Vijana watakiwa kujihusisha na michezo kikamilifu kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    277 views

    Wito umetolewa kwa vijana kaunti ya Kwale kujihusisha katika nyanja za michezo kama njia ya kupata ajira pamoja na kuleta utangamano miongoni mwao.