- 226 viewsDuration: 1:57Huku chaguzi ndogo zikitarajiwa katika maeneo mbali mbali nchini hivi karibuni, baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Kilifi sasa linawataka vijana kujiandikisha kwa wingi kuwa wapiga kura na kushiriki kikamilifu katika chaguzi hizo.