Skip to main content
Skip to main content

Vijana watarajiwa kuandaa maandamano nchini Tanzania hapo kesho

  • | NTV Video
    28,013 views
    Duration: 6:23
    Tanzania itaadhimisha siku ya kumbukumbu ya uhuru wa taifa hilo tarehe 9 Disemba ambayo ni kesho katika kipindi ambacho taifa hilo linamulikwa na darubini kali kwa madai ya ukiukaji mkubwa wa haki za kibinadamu kufuatia uchaguzi uliokumbwa na machafuko oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya