Vijana watumia michoro kuhamasisha umma kuhusu Corona

  • | Citizen TV
    Vijana mjini Kericho wamejitolea kuhamasisha wakaazi kuhusu kudumisha usafi ili kuzuia virusi vya corona kupitia michoro.