Vijana wavumbuzi huko Mombasa waonyesha bidhaa zao katika ulimwengu wa teknolojia

  • | VOA Swahili
    124 views
    - - - - - Wiki hii katika teknolojia tunaelekea huko Mombasa kenya ambapo, vijana wavumbuzi wanaoesha bidhaa zao mbali mbali katika ulimwengu wa teknolojia. Lengo ikiwa ni kueneza utamaduni wa uvumbuzi katika eneo la pwani afrika mashariki. Miongoni mwa uvumbuzi ni pamoja na utengezaji wa madawati kwa kutumia bidhaa za plastiik ngumu na taka nyenginezo pamoja na teknolojia ya kilimo cha mboga bila kutumia mchanga.