- 205 viewsDuration: 1:51Vijana zaidi ya 1,000 kutoka kaunti ndogo za Nandi wamehamasishwa kuhusu madhara ya matumizi ya pombe na dawa za kulevya, katika kampeni ya mwezi mzima inayoongozwa na Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya.