- 1,562 viewsDuration: 2:55Shughuli ya kuwachagua vijana zaidi ya laki moja unusu watakaopewa shilingi elfu hamsini za kuanzisha biashara ndogo chini ya hazina ya nyota itaendelezwa katika kaunti ya Taita Taveta Jumatatu wiki ijayo huku zoezi hilo likikamilika katika kaunti zingine 46.