Vikao vya bunge la seneti kuandaliwa Busia

  • | KBC Video
    12 views

    Mji wa Busia kwa sasa unapewa sura mpya kabla ya kuandaa makala ya nne ya vikao vya Seneti Mashinani mwezi ujao. Wakazi wa mji huo wa mpakani pia watanufaika kutokana na uimarishaji muundo msingi ikiwa na ni pamoja na uwekaji matarumba na maeneoya kuegesha magari.Wakazi wa mji huo wamepongeza bunge la Seneti kwa kuchagua kaunti ya Busia kuandaa vikao vya Seneti Mashinani wakisema tayari wanafurahia matunda ya ugatuzi. Makala ya Nne ya vikao vya Seneti Mashinani yatafanyika mjini Busia kati ya tarehe-23 na tarehe-27 mwezi Septemba mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive