Vikao vya bunge | Wabunge na maseneta kurejea mijadala kesho

  • | KBC Video
    12 views

    Bunge la kitaifa na lile la seneti yanatarajiwa kurejelea vikao vyao Jumanne alasiri baada ya likizo ndefu huku zikiwa na shughuli chungu nzima za kutekeleza. Miongoni mwa shughuli muhimu ni kuangazia bajeti ya ziada ambayo inalenga kupunguza ukopaji kwa shilingi bilioni 68 na kubuniwa kwa afisi ya kiongozi rasmi wa upinzani . Bunge la seneti pia litaamua mfumo utakaotumika katika ugavi wa mapato miongoni mwa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #wabunge #News #maseneta