Vikao vya kamati ya bunge kuhusu mbolea ghushi vyaanza

  • | KBC Video
    45 views

    Kamati ya wanachama 11 inayochunguza madai ya kuhusika kwenye sakata ya mbolea ghushi dhidi ya waziri wa kilimo Mithika Linturi imeanza vikao vyake katika majengo ya bunge. Akihutubia wanahabari katika majengo ya bunge muda mfupi kabla ya kuanza kwa vikao hivyo, mdhamini wa hoja ya kumng’atua Linturi afisini ambaye ni mbunge wa Bumula Jack Wamboka akiandamana na wakili wake George Khaminwa alisema ana ushahidi wa kutosha wa kumhusisha Linturi na kashfa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive