- 192 viewsDuration: 3:16Vikao vya mara Kwa mara vya kuhamasisha umma kuhusu utoaji habari katika kaunti ya Samburu,vimeanza kuzaa matunda wakazi wakijitokeza na kuhudhuria vikao vya ushirikishi na kutoa maoni kuhusu mipangilio ya serikali. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu