Vikao vya uhamasishaji kuhusu hazina ya bima ya afya ya jamii vyaandaliwa

  • | KBC Video
    25 views

    Chama cha madaktari na wataalamu wa dawa na meno nchini (KMPDU) sasa kinadai kwamba serikali inajaribu kubinafsisha hazina ya bima ya kitaifa ya matibabu NHIF kupitia kuanzishwa kwa hazina ya bima ya kijamii ya matibabu. Haya yanajiri huku waziri wa afya susan nakhumicha akiongoza kikao cha uhamasisho kuhusu halmashauri ya afya ya kijamii katika afisi yake kwenye jumba la Afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive