Vikao vya umma kuhusu nyumba za bei nafuu vyaandaliwa Kilifi

  • | KBC Video
    12 views

    Kamati ya bunge inayoshughulikia ujenzi wa Nyumba za gharama nafuu inaendelea na ziara yake ya mkoa wa pwani katika harakati ya kushirikisha umma kwenye mchakato wa kubuni sheria itakayotoa mwongozo kuhusu ushuru wa Nyumba. Akizungumza na wanahabari baada ya kikao na wakazi wa Kilifi, mwenyekiti wa kamati hiyo Johana Ngeno alisema wakazi wengi hawana ufahamu kuhusu mswada huo unaopendekeza utozaji ushuru wa kugharamia ujenzi wa Nyumba, hali inayosababisha changamoto katika mchakato wa kutafuta maoni kutoka kwa umma

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive