Vikao vya uthibitishaji mashtaka vimefanyika Homabay na Busia

  • | K24 Video
    51 views

    Kesi za kupinga ushindi wa magavana Gladys Wanga wa Homa Bay na Paul Otuoma wa Busia ziko tayari kuanza. Hii ni baada ya vikao vya kuthibitisha mashtaka kufanyika leo katika mahakama kuu zilizoko katika kaunti hizo. Hayo yanajiri huku mahakama ya juu ikiamua kuwa bunge la seneti lina uwezo kisheria kuwaita magavana mbele yake kwa kusudi mbalimbali ikiwemo kujibu maswali.