Vikundi 50 vya wanawake na wanabodaboda vyanufaika mradi wa kuku Siaya

  • | Citizen TV
    127 views

    Vikundi zaidi ya 50 vya kina mama na waendeshaji bodaboda katika wadi ya Ugenya mashariki vimefaidika na waya wa kuku kupitia mpango wa Kuku ni Pesa unaolenga kuwachumia riziki wakazi wa eneo hilo.