- 61 viewsDuration: 1:15Serikali ya kaunti ya kirinyaga imeongeza juhudi za kuwawezesha wakazi kiuchumi hasa vijana wa wanawake. Kwenye miradi ya uwezeshaji inayoongozwa na gavana wa kirinyaga anne waiguru, makundi ya kina mama na jamii za mapato ya chini walipewa vifaa mbalimbali vya biashara yakiwemo mahema na viti, huku walemavu wakipewa viti vya magurudumu na vifaa vingine muhimu vya kuwawezesha kutembea. hafla hiyi ilifanyika kijijini Njukiini.