Vilio vya familia ya wafanyikazi wawili wa 'Kenya Airways' wanaozuiliwa katika Jamuhuri ya Congo

  • | Citizen TV
    4,889 views

    Kilio Cha Familia Ya Maloba Lydia Olando Maloba Anazuiliwa Jamuhuri Ya Congo Lydia Ni Mfanyakazi Wa Kampuni Ya Kenya Airways Amekuwa Akizuiliwa Kwa Zaidi Ya Wiki Mbili Drc Kampuni Ya Kq Ilisitisha Ndege Za Kenya Kwenda Drc