Skip to main content
Skip to main content

Vilio vyaibuka mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    38,173 views
    Duration: 28:10
    Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu imeahirishwa mapema hii leo baada ya mtuhumiwa kuieleza mahakama kuwa hajapatiwa chakula cha mchana licha ya Jaji kuelekeza na kutoa muda wa maafisa wa magereza kufanya hivyo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw