15 Aug 2025 7:38 am | Citizen TV 7,700 views Duration: 1:36 Mwanamke mmoja alifariki na mwanawe kujeruhiwa katika eneo la mpakani la Mandera baada ya mkokoteni uliokuwa ukivurutwa na punda, ambao walikuwa wameabiri kulipuka