Skip to main content
Skip to main content

Vinara wa upinzani wameendelea kumlaumu Rais William Ruto kwa kile wanachosema ni uongozi mbaya

  • | Citizen TV
    3,928 views
    Duration: 2:34
    Vinara wa upinzani wameendelea kumlaumu rais William Ruto kwa kile wanachosema ni uongozi mbaya wakiahidi kuwa waendelea kuziweka wazi shughuli za kifisadi serikalini. Viongozi hawa wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na Kalonzo Musyoka wa Wiper haswa wameendelea kufokea ubinafsishaji wa mashirika ya umma.