Vincent Chembukha kutoka Mombasa amejishindia shilingi 1.4m

  • | Citizen TV
    188 views

    Vincent Chembukha kutoka kaunti ya Mombasa ndiye mshindi wa hivi punde kwenye shindano la shabiki aviator…. chembukha amejishindia shilingi 1.4 baada ya kuwekeza shilingi 100 tu, ambazo zilizalisha ushindi huu mnono kwenye shindano ambalo linakuwa kwa kasi mno kwenye jukwa la shabiki.com