23 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 238 views Duration: 1:09 Vincent Kiplimo Ruto mwanawe aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Chemundu-Kapng'etuny Julius Kipruto Keter, aliibuka mshindi wa uchaguzi wa chama cha UDA kwenye wadi hiyo .