25 Aug 2025 1:35 pm | Citizen TV 511 views Duration: 3:21 Viongozi wa mashamba ya kijamii na hifadhi mbalimbali katika kaunti ya Kajiado wamejitokeza na kutetea mradi wa hewa ya kaboni ambao unaendeshwa na shirika moja la kutunza mazingira katika kaunti ndogo nne za kajiado.