Viongazi wa jamii ya magharibi wameapa kuungana na kuwa kitu kimoja

  • | West TV
    51 views
    Viongozi kutoka uliokuwa mkoa wa magharibi mwa kenya wameapa kuungana na kuwa kitu kimoja na kuzungunza kwa lugha moja ili waweze kupata maendeleo kutoka kwa serikali.