Viongozi 30 wa Jubilee waahidi kufanya kazi na serikali ya Kenya Kwanza

  • | K24 Video
    85 views

    SIku moja tu baada ya rais ruto kukutana na baadhi ya wabunge wa ODM, leo amefanya kikao na viongozi 30 kutoka chama cha Jubilee walioahidi kufanya kazi na serikali ya kenya kwanza. Katika mkutano huo Rais Ruto alidai uamuzi wa viongozi hao kufanya kazi naye kunawafanya kuwa wanachama wa kenya kwanza. Matukio ya leo yamepuuziliwa mbali na uongozi wa jubilee uliodai kuwa hauna muda kuwachukulia hatua za kinidhamu.