Viongozi Bungoma watetea mustakabali wa Ford Kenya licha ya uamuzi wa mahakama

  • | NTV Video
    259 views

    Siku chache baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula hapaswi kuwa kiongozi wa chama cha kisasa cha Ford Kenya wakati anahudumu akiwa spika, baadhi ya viongozi katika kaunti ya Bungoma wamejitokeza na kusema licha ya uamuzi huo,chama cha Ford Kenya kitasalia kuwepo na hakuna mpango wowote wa kukivunja chama hicho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya