Viongozi katika eneo la Mandera Mashariki wamezindua mpango wa kuwafadhili watu wanaoishi na ulemavu

  • | KBC Video
    5 views

    Viongozi wa kaunti katika eneo la Mandera Mashariki wamezindua mpango wa kuwafadhili watu wanaoishi na ulemavu katika eneo hilo kwa kuwakimu na vifaa vya kuwasaidia kutembea pamoja na vile vya kiufundi. Mpango huo unalenga kuwawezesha watu walio na ulemavu kujitegemea ili kuyabadilisha maisha yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC