Viongozi katika kaunti ya Samburu wapinga mila potovu ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    209 views

    Viongozi katika kaunti ya Samburu, wakiongozwa na mwakilishi wa kike Kaunti hiyo, wanalenga kuwahusisha machifu katika kuwasaka wanafunzi wanaokosa kuhudhuria masomo kwa sababu ya ukeketaji.