Viongozi Kaunti ya Kajiado wapinga vikali siasa za mgawanyiko na chuki

  • | K24 Video
    Viongozi wa Kaunti ya Kajiado wanaomba Idara ya Usalama wa kitaifa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wanasiasa wanaojihusisha na siasa cha chuki na uhasama ili kuzuia uwezekano wa machafuko ya kisiasa 2022