- 23,546 viewsDuration: 46sRais wa Madagascar, Michael Randrianirina ametangaza hatua ya kipekee kupambana na rushwa, kwa kununua mashine maalum ya kupima uongo. Serikali imethibitisha kuwa kwa yeyote anayetaka kuwa waziri atalazimika kupimwa kwa mashine ya kugundua uongo. @faidha_ngaga na taarifa hii #bbcswahili #foryou #kenyantiktok🇰🇪 #madagscar#tanzaniantiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw