Viongozi kutoka kaunti ya Meru wamtetea waziri wa kilimo Mithika Linturi

  • | Citizen TV
    271 views

    Viongozi wa Kaunti ya Meru wanamtetea waziri w akilimo mithika linturi kuhusiana na tuhuma dhidi yake wakisema kuwa hoja ya kumbandua ofisini imewasilishwa na mahasidi wenye nia mbaya. Wakizungumza Mjini Maua Viongozi hao Wamewashtumu baadhi ya Wabunge wa Mrengo wa kenya kwanza na kuwataja kuwa wasaliti.