Viongozi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wana wasiwasi kuhusu kiwango cha mazao wamepata

  • | Citizen TV
    793 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Trans-Nzoia sasa wanasema huenda uzalishaji wa vyakula mwaka huu ukapungua endapo serikali haitashughulikia suala la mbolea ghushi nchini. Viongozi hao wakiongozwa na gavana George Natembeya wanasema mwaka huu wakulima wanahangaika kupata mbolea huku msimu wa upanzi ukiingia awamu ya mwisho.