Viongozi mahasimu wa kijeshi wadinda kusitisha mapigano nchini Sudan

  • | Citizen TV
    1,318 views

    Mapigano yanaendelea katika baadhi ya maeneo ya mji wa khartoum nchini sudan huku viongozi mahasimu wa kijeshi wakidinda kusitisha mapigano.