Viongozi mbalimbali wakongamana nchini Misri

  • | K24 Video
    43 views

    Kongamano la hali ya anga maaruf kama COP27 linalofanyika nchini misri limeanza kwa kishindo baada ya hoja ya kuwapata na hatia viongozi amabo mataifa yao yanakiuka sheria za mazingira. Hoja ambayo imeibua hisia mseto miongoni mwa viongozi hao wa mataifa ya kigeni.