Viongozi na wadau watakiwa kushirikiana ili kukomesha visa vya ubakaji na dhuluma za kijinsia Busia

  • | Citizen TV
    139 views

    Viongozi na wadau mbalimbali katika kaunti ya Busia kwa karibu ili kukomesha visa vilivyokithiri vya ubakaji na dhuluma za kijinsia katika kaunti hiyo. Mshauri wa rais kuhusu maswala ya haki za kijinsia, Harriet Chigai, amesema kuwa visa vya ubakaji katika kaunti hiyo ya mpakani vimeongezeka kwa asilimia 21.